Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Januari 30, 2023 Local time: 17:25

Mahakama ya Juu ya Thailand yamuondolea mashtaka Waziri Mkuu


Mahakama ya Juu ya Thailand yamuondolea mashtaka Waziri Mkuu
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:06 0:00

Mahakama ya Juu ya Thailand yamuondolea mashtaka Waziri Mkuu wa Thailand ya kukiuka maadili kwa mujibu wa katiba ya nchi kwa kuendelea kuishi katika makazi ya Jeshi baada ya kustaafu yaliofunguliwa na upinzani.

Serikali ya China imetangaza chombo chake cha anga za juu kilitua salama katika Mwezi na kubakia huko kwa siku mbili ili kukusanya na kurejesha mawe duniani.

Wanaharakati watatu maarufu wa Hong Kong wanaotetea demokrasia wahukumiwa adhabu ya vifungo wakihusishwa na maandamano nje ya makao makuu ya polisi.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG