Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Februari 03, 2023 Local time: 00:43

Magavana na wabunge wakabidhi madaraka kwa Jeshi DRC


Magavana na wabunge wakabidhi madaraka kwa Jeshi DRC
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:53 0:00

Magavana na wabunge katika majimbo ya Ituri na Kivu Kaskazini wakubali kukabidhi madaraka kwa Jeshi la Congo ambao wataongoza maeneo yenye machafuko na kuyasaka makundi ya waasi ambao wamekuwa wakifanya mauaji ya mara kwa mara.

XS
SM
MD
LG