Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Mei 24, 2024 Local time: 22:15

Afrika Magharibi na Kati kuongeza matibabu ya HIV


Kijana wa kiume raia wa Msumbiji.
Kijana wa kiume raia wa Msumbiji.

Kundi la kutoa msaada wa kibinadamu la Madaktari Wasio na Mipaka linasema malengo ya dunia ya kupunguza maambukizo ya HIV ifikapo mwaka 2020 halitafikiwa mpaka watoa misaada watambue na kukidhi mahitaji ya kufanya kazi zaidi huko Afrika magharibi na kati, ambako viwango vya maambukizo viko chini ikilinganishwa na mataifa ya Afrika chini ya jangwa la Sahara.

Kundi la Madaktari Wasio na Mipaka lilitoa ripoti leo Jumatano ikisema lengo kwa Afrika ni kwa kile kinachoelezewa "maeneo yenye maambukizo ya VVU" yamepelekea mtizamo mdogo sana kwamba haingalii mahitaji ya Afrika magharibi na kati.

XS
SM
MD
LG