Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Julai 22, 2024 Local time: 07:27

Wachunguzi kuchunguza mabaki ya ndege ya Malaysia


Wachunguzi wa Australia na Malaysia wana hamu ya kuchunguza kile ambacho kinaweza kuwa mabaki ya ndege ya Malaysia nambari 370 ambayo iliyopotea ikitoka Kuala Lumpur kuelekea Beijing miaka miwili iliyopita.

Ndege hiyo iliyokuwa na abiria 239 na wafanyakazi wake ilipotea Machi 2014.

Mabaki ambayo huenda ni ya ndege hiyo yalionekana kwenye ufukwe wa Madagascar kisiwa kilichoko kusini mwa Australia.

Mojawapo ikiwa ni kiti cha ndege na sehemu ya bawa.

XS
SM
MD
LG