Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Januari 30, 2023 Local time: 18:12

Maandamano kupinga chanjo yageuka ghasia London


Maandamano kupinga chanjo yageuka ghasia London
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:10 0:00

Maandamano ya kupinga chanjo katikati ya London yaligeuka kuwa ghasia Jumatatu ambapo waandamanaji takriban 5,000 walizungukwa na polisi nje ya Parliament Square.

XS
SM
MD
LG