Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Julai 14, 2024 Local time: 07:31

Watu wa Tunisia wagombania bidhaa kutoka Libya


Soko la nje lilijaa watu ambao watu wachache walipambana na jua kali kutaka kupata TV za hali ya juu na mazulia mazuri yaliongizwa kutoka Libya ikiwa ni kilometa thelathini tu kutoka hapo.

Pia hakuna biashara katika soko la kuuza dola za magendo la Ben Guerdane.

Moja ya miji iliyo masikini kabisa ya Tunisia, Ben Guardane, inategemea kwa kiasi kikubwa biashara za mpakani za halali na zisizo halali ili kuweza kuishi.

Biashara ambazo zimekuwa zinazorota zilijikuta zikiendelea kupata pigo jingine jipya baada ya maafisa wa Libya kufunga mipaka ili kuzuia uingizwaji wa mafuta ya magendo.

XS
SM
MD
LG