Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Oktoba 24, 2020 Local time: 21:57

Kamati ya kutatua mzozo kwenye bunge la Liberia yabuniwa

Mke wa Rais wa Marekani Michelle Obama(kushoto)akiwa na Rais wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf mjini Monrovia mwezi Juni.

Rais wa muda wa baraza la Seneti la Liberia amesema Jumatatu kuwa baraza lake limebuni kamati ya muda ili kujaribu kusuluhisha mvutano kwenye baraza la wawakilishi.

Rais wa muda wa baraza la Seneti la Liberia amesema Jumatatu kuwa baraza lake limebuni kamati ya muda ili kujaribu kusuluhisha mvutano kwenye baraza la wawakilishi.

Baraza hilo limekwama kwa zaidi ya miezi miwili sasa kutokana na kutokukubaliana kati ya wabunge.

Kundi moja linamtaka spika wa bunge Alex Tyler kujiondoa kwenye shughuli za bunge mpaka uchunguzi dhidi yake utakapokamilika kuhusiana na tuhuma za kura rushwa.

Spika na wale wanaomuunga mkono wanasema hana kosa hadi pale atakapopatikana na hatia mahakamani.

Kura ya Maoni : Uchaguzi Tanzania

Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?

Kura hii ya maoni si ya kisayansi na inaonyesha maoni ya waliojibu maswali tu.

Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?

Kura hii ya maoni si ya kisayansi na inaonyesha maoni ya waliojibu maswali tu.

XS
SM
MD
LG