Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 08, 2023 Local time: 07:50

Kundi la waasi wa M23 limekubali kuachia baadhi ya maeneo yaliyovamia


Kundi la waasi wa M23 limekubali kuachia baadhi ya maeneo yaliyovamia
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:20 0:00

Kundi la waasi wa M23 wamekubali kuachia baadhi ya maeneo waliovamia nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na hivi sasa wameyakabidhi kwa majeshi ya Afrika Mashariki.

Hatua hii imefikiwa baada ya mazungumzo kufanyika nchini Angola. Ungana na mwandishi wetu akikuletea maelezo ya waasi wa M23 na ni hatua zipi walizochukuwa hadi sasa kuachia maeneo hayo na nini kilichoandaliwa ili kufikia suluhu ya kudumu. Endelea kusikiliza...

XS
SM
MD
LG