Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Desemba 05, 2022 Local time: 23:23

Korea Kusini yatoa onyo kali kufuatia uchokozi wa Korea Kaskazini


Korea Kusini yatoa onyo kali kufuatia uchokozi wa Korea Kaskazini
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:39 0:00

Afisa mwandamizi wa kikosi cha wakuu wa majeshi Korea Kusini amesema jeshi limetoa onyo kali kwa Korea Kaskazini ikiitaka kuacha kufyatua makombora ya balistiki kwa majaribio ya kichokozi, ambayo ni kinyume cha mikataba na maazimio ya kimataifa alisema afisa huyo.

XS
SM
MD
LG