Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 01, 2023 Local time: 13:24

Kongamano la 15: Wataalam wa hali ya hewa kutoka nchi 50 wakutana Dar es Salaam

Kongamano la 15: Wataalam wa hali ya hewa kutoka nchi 50 wakutana Dar es Salaam
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:52 0:00

Wataalam wa masuala ya hali ya hewa wanaokutana nchini Tanzania kutoka mataifa 50 wamesisitiza umuhimu wa kutumia vifaa vya kisasa na teknolojia ya uhakika kama satellite.

XS
SM
MD
LG