Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Januari 30, 2023 Local time: 07:46

Kombora la Russia laua watu 30 Ukraine, wengine 34 hawajulikani walipo


Kombora la Russia laua watu 30 Ukraine, wengine 34 hawajulikani walipo
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:41 0:00

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy amelaani ukimya wa watu wa Russia kufuatia shambulizi lililoua watu 30, huku wengine 34 hawajulikani walipo.

Zelenskyy amesema kuwa nchi yake imepokea ujumbe wa huruma kutoka kote ulimwenguni juu ya ugaidi huo. Kwa upande wao Russia imesema jeshi lake halivamii makazi ya watu au miundombinu ya kijamii. Msemaji wa Kremlin amedai mashambulizi yanafanyika katika maeneo ya kijeshi yaliyo wazi na kujificha.

XS
SM
MD
LG