Kwenye mtaa maarufu mjini Dakar jezi feki za Senegal zinauzwa na wengi huvutiwa kuzinunua wakati huu wa michuano ya Kombe la Dunia. Katika repoti hii suala la kudhibiti jezi hizi bandia linatolewa maelezo. Endelea kumsikiliza mwandishi wetu akieleza kwa muhtasari.