No media source currently available
Nigeria iko tayari kuwashangaza watu katika Ligi ijayo ya Mpira wa Kikapu barani Afrika. Falcon wako kundi moja na ABC Fighters ya Ivory Coast.
Sikiliza nini kocha wa Falcon anaeleza kuhusu umuhimu wa mashindano hayo ya BAL 2023...