Kitongoji cha Mafalala, Msumbiji na juhudi za kuhifadhi historia yake
Mwandishi wetu Sunday Shomari anakuletea yale yanayopatikana katika kitongoji cha Mafalala, Maputo Msumbiji, na juhudi zinazofanyika kuhifadhi kumbukumbu yake yenye chimbuko la utamaduni wa baada ya uhuru wa nchi hiyo. Pia kuna habari kemkem atazukupasha katika simulizi hii, endelea kumsikiliza...
Matukio
-
Juni 24, 2022
ZULIA JEKUNDU: Beyonce aachia wimbo mpya wiki hii.
-
Juni 11, 2022
Mwimbo unaokosoa ukatili wa polisi wazinduliwa Kenya
-
Mei 20, 2022
Tamasha la filamu la Cannes lafanyika Ufaransa