Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Novemba 26, 2022 Local time: 16:46

Kiongozi wa kabila la Tongva abuni mikakati ya kuenzi jadi yao


Kiongozi wa kabila la Tongva abuni mikakati ya kuenzi jadi yao
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:09 0:00

Kiongozi wa kabila la jadi la Tongva abuni mikakati ya kuenzi kabila lake ambalo limeishi katika eneo la mji wa Los Angles miaka mingi kabla ya kuwasili kwa Christopher Columbus kwenye fukwe za Marekani akitokea Ulaya. Sherehe ya kwanza ya jadi ilifanyika mwaka 2018.

XS
SM
MD
LG