No media source currently available
Gavana wa Jimbo la Louisiana amewatahadharisha wakazi wa eneo lake kuchukua tahadhari kwa kutotoka nje jana na Leo akisema nguvu za kimbunga Ida inaweza kuwa ya juu hata kushinda kile cha 1850.