Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Desemba 06, 2022 Local time: 00:58

Kimbunga Ian chaleta hasara kubwa jimboni Florida na maeneo mengine


Kimbunga Ian chaleta hasara kubwa jimboni Florida na maeneo mengine
please wait

No media source currently available

0:00 0:05:03 0:00

Nusu ya pili ya mwaka kuanzia Juni 1 hadi Novemba 30 kwa kawaida huwa ni msimu wa vimbunga vinavyotokea katika kanda ya joto la Afrika na kufika hapa Marekani pamoja na kanda ya Caribbean na Amerika ya Kusini. Ungana na mwandishi wetu akikuletea tathmini ya uharibifu ulioletwa na Kimbunga Ian.

XS
SM
MD
LG