Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Aprili 15, 2024 Local time: 02:24

Wakenya waomboleza kifo cha Lucy Kibaki, mke wa rais wa Zamani,


Lucy Kibaki
Lucy Kibaki

Kufuatia kufariki kwa Bi Lucy Kibaki, aliyekuwa mke wa rais wa zamani nchini Kenya, Wakenya wameendelea kuomboleza huku risala za rambirambi zikitumwa kwa familia yake.Lucy kibaki aliyekuwa mke wa rais wa kenya, Mwai Kibaki amefariki dunia. Taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Nairobi ilisema Bi Kibaki alifariki wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Bupa Cromwell London, Uingereza.

Bi Kibaki alikuwa amelazwa hospitalini mjini Nairobi mwezi uliopita. Chanzo karibu na familia ya Kibaki kimeithibitishia Nation kwamba alisafirishwa kwenda Uingerea kwa matibabu zaidi. BMJ Muriithi amezungumza na baadhi ya Wakenya, akiwemo aliyekuwa waziri msaidizi wa mambo ya nje, Bw Richard Onyonka. Hii hapa ripoti zaidi:

please wait

No media source currently available

0:00 0:03:55 0:00
Kiungo cha moja kwa moja


XS
SM
MD
LG