Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Desemba 05, 2024 Local time: 23:24

Kesi ya mauaji ya Thomas Sankara yaanza kusikilizwa


Kesi ya mauaji ya Thomas Sankara yaanza kusikilizwa
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:22 0:00

Kesi kuhusiana na mauwaji ya mwana mapinduzi wa Burkina Faso na Afrika kwa ujumla Thomas Sankara imefunguliwa rasmi mjini Ouagadougu hii leo ambapo watu 14 akiwemo rais wa zamani wanatuhumiwa kwa mwauwaji hayo yaliyotokea mwaka 1987.

XS
SM
MD
LG