No media source currently available
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amezindua mashindano ya mbio za magari duniani akisema tukio mashindano hayo ni muhimu kwa sekta ya utalii na uchukuzi wa Kenya.