Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 01, 2023 Local time: 04:49

Kenya yaipongeza Marekani kurejea nafasi yake ya uongozi


Kenya yaipongeza Marekani kurejea nafasi yake ya uongozi
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:31 0:00

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken alifanya mkutano kwa njia ya mtandao na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta Jumanne ikiwa ni sehemu ya safari yake kuifikia Afrika kupitia mtandao.

XS
SM
MD
LG