Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Juni 18, 2024 Local time: 23:42

Kongamano la maswala ya maji Afrika laendelea Nairobi


Wakinamama wakichota maji Tanzania.
Wakinamama wakichota maji Tanzania.

Wataalam 1500 kutoka mataifa 40 ya Afrika wakutana kujadili swala zima la maji barani Afrika , ikiwemo njia za kukidhi mahitaji ya maji barani humo.

Wataalamu wa maswala ya maji kutoka takriban mataifa 40 ya bara Afrika wanakongamana jijini Nairobi kujadili upatikanaji wa maji safi na pia kuchughulikia kusafishwa kwa maji taka.

Wataalamu hao wanakutana kwa kipindi cha siku nne kuangazia maswala mbali mbali kuhusu maji na jinsi ya kushughulisha umma barani Afrika kuhifadhi vyanzo vya maji na pia kukidhi mahitaji ya maji barani humo.

XS
SM
MD
LG