Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Oktoba 28, 2020 Local time: 16:54

Wakenya watoa maoni ya safari za Rais Uhuru Kenyatta kwenda nchi za nje.


Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akitoa hotuba kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York.

Swala la ziara za kiserikali za Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta zimezua majadala mkali miongoni mwa wakenya katika siku za hivi karibuni.

please wait

No media source currently available

0:00 0:02:51 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

Baadhi ya wakenya wanaunga mkono ziara hizo wakidai kuwa zinaleta manufaa kwa taifa huku wengine wakidai ni matumizi mabaya ya fedha za umma kwa nchi hiyo ambayo bado inachipukia kiuchumi.

Navyo vyama vya upinzani pamoja na baadhi ya mashirika kadhaa yasiyo ya kiserikali yalidai kuwa zaidi ya shilingi bilioni 2.1 tayari zimetumika katika ziara hizi za Rais pamoja na Makamu Rais, William Ruto.

Kura ya Maoni : Uchaguzi Tanzania

Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?

Kura hii ya maoni si ya kisayansi na inaonyesha maoni ya waliojibu maswali tu.

Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?

Kura hii ya maoni si ya kisayansi na inaonyesha maoni ya waliojibu maswali tu.

XS
SM
MD
LG