Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Julai 25, 2024 Local time: 16:11

Rais Uhuru kuongeza polisi 10,000 Kenya.


Maafisa wa polisi wa Kenya wakiwa kwenye operesheni ya awali.
Maafisa wa polisi wa Kenya wakiwa kwenye operesheni ya awali.

Wakenya wengi wamefurahishwa na agizo la Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya la kuongeza idadi ya maafisa wa usalama wapya Elfu Kumi mwaka huu,ikiwa hatua ya kuimarisha usalama na pia kufikia kiwango kilichowekwa na Umoja wa Mataifa ambapo kila afisa mmoja wa polisi anapaswa kusimamia raia takriban 430.

please wait

No media source currently available

0:00 0:01:56 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

Licha ta hatua hiyo, raiya waliozungumza na Sauti Ya Amerika wameomba Serikali kutoa mafunzo zaidi kwa maafisa vile vile wakiwaomba maafisa hao waajibike zaidi wanapotekeleza majukumu yao na hasa kuepuka kula rushwa.

XS
SM
MD
LG