Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Februari 03, 2023 Local time: 21:59

Kenya na Ethiopia zakabiliwa na viwango vya juu vya ugonjwa wa TB


Kenya na Ethiopia zakabiliwa na viwango vya juu vya ugonjwa wa TB
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:53 0:00

Nchi mbili kati ya Mataifa Wanachama wa Jumuiya ya IGAD, Kenya na Ethiopia, zinakabiliwa na viwango vya juu vya ugonjwa wa TB, ikiwa ni kati ya mataifa 30 duniani yanayo pambana kuutokomeza ugonjwa huo, moja ya sababu ikiwa ni changamoto za kufuatilia utumiaji dawa.

XS
SM
MD
LG