Binti ambaye amesafiri kutoka upande wa kaskazini mwa Kenya hadi Mombasa kupata matibabu na amepona hivi sasa, baba yake anaeleza hali ilivyokuwa kabla hajapatiwa matibabu kuhusu dalili za tatizo hilo la moyo. Ungana na mwandishi wetu akikuletea maelezo ya mzazi wa mtoto huyo.
Matukio
-
Machi 14, 2025Changamoto za ulezi wa watoto walemavu kiakili Kenya
-
Februari 28, 2025Waislamu wajitayarish kwa Ramadhani
-
Februari 27, 2025Ethiopia na Somalia waimarisha uhusiano wao
-
Februari 18, 2025Nini kilichosababisha Raila Odinga kushindwa katika uchaguzi wa AU?
-
Februari 11, 2025Naibu Katibu Mkuu aeleza hatua za dharura zinazochukuliwa DRC