Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Septemba 29, 2022 Local time: 01:39

Wajumbe wapya wa Tume ya uchaguzi kuchaguliwa Kenya


Maandamano yalioshuhudiwa awali nchini Kenya ya kushinikiza kivunjwa kwa Tume ya Uchaguzi, IEBC.

Baada ya wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC nchini Kenya kuondoka ofisini, kazi ilo mbele sasa ni ya kuwatafuta wajumbe wengie watakaohudumu kwenye Tume hiyo.

Baada ya wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC nchini Kenya kuondoka ofisini, kazi ilio mbele sasa ni ya kuwatafuta wajumbe wengine watakaohudumu kwenye Tume hiyo.

please wait
Embed

No media source currently available

0:00 0:02:58 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

Harrison Kamau wa VOA aliweza kuzungumza na Profesa Nyaigoti Chacha kutoka Nairobi akitaka kujua kutoka kwake mikakati inayotumika kuwatafuta wajumbe wapya wa Tume hiyo.

Kwa habari zaidi bonyeza usikie.

XS
SM
MD
LG