Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Julai 14, 2024 Local time: 14:20

Mazungumzo ya IEBC kuanza Kenya


Maandamano ya awali dhidi ya IEBC nchini Kenya
Maandamano ya awali dhidi ya IEBC nchini Kenya

Mazunguzo kati ya vyama vya kisiasa nchini Kenya kuhusu mikakati ya kuvunjwa na kuundwa kwa Tume mpya ya Uchaguzi,IEBC yanatarajiwa kuanza Jumatano.

Muafaka unakaribia kupatikana kati ya vyama vikuu vya kisiasa nchini Kenya kuhusiana na mikakati ya kuvunjwa na kubuniwa upya kwa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka ujao.

please wait

No media source currently available

0:00 0:02:28 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

Vyama vya upinzani vimefutilia mbali maandamano ambayo yamekuwa yakishuhudiwa nchini humo katika siku za hivi karibuni kutokana na swala hilo.Siku ya Jumatano, mabunge yote mawili yanatarajiwa kujadili hoja kutoka kwa kamati ya shughuli japo kutoaminiana kunaendelea kushudiwa kila wakati viongozi wanapotoa hotuba kwa wafuasi wao.

Kwa taarifa zaidi sikiliza ripoti ya Josephat Kioko, mwandishi wa VOA kutoka Mombasa .

XS
SM
MD
LG