Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Julai 17, 2024 Local time: 18:52

Magavana wakutana Naivasha, Kenya


Kivutio cha watalii katika eneo la Maraigushu,karibu na mji wa Naivasha, Kenya
Kivutio cha watalii katika eneo la Maraigushu,karibu na mji wa Naivasha, Kenya

Baraza la Magavana nchini Kenya Jumatatu lilifanya mkutano mjini Naivasha Kenya ambao umefanyika siku chache tu baada ya Gavana wa Nyeri Nderitu Gachagua kuondolewa madarakani kupitia kura ya kukosa imani.

please wait

No media source currently available

0:00 0:03:01 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

Wakati kikao hicho kikiendelea, Harrison Kamau wa VOA aliweza kufanya mahojiano na aliekuwa mwenyekiti wa Baraza hilo na ambae ni Gavana wa Kaunti ya Bomet Isaac Ruto na kwanza akamuuliza madhumuni ya mkutano huo.

XS
SM
MD
LG