Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Juni 22, 2024 Local time: 10:20

Viongozi Kenya waasa wananchi juu ya katiba


Bunge la Kenya
Bunge la Kenya

Viongozi wa Kenya waasa wananchi wao kusoma mapendekezo ya mwisho ya katiba mpya ambayo yanategemewa kupigiwa kura baadaye mwaka huu.

Viongozi wa Kenya wanawahimiza wananchi kusoma mapendekezo ya mwisho ya katiba mpya ambayo yanategemewa kupigiwa kura baadaye mwaka huu.

Rais Mwai Kibaki na Waziri Mkuu Raila Odinga waliwalisha rasimu hiyo katika mkutano na waandishi wa habari huko Nairoibi Alhamisi. Rais amesema serikali itatoa walau nakala milioni 5 za rasimu hiyo ili watu waweze kuamua kilichomo.

Miongoni mwa mabadiliko mengine itapunguza ukubwa wa baraza la mawaziri, kuweka utaratibu mpya wa bunge na kutoa madaraka zaidi kwa serikali za majimbo.

XS
SM
MD
LG