Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 08, 2023 Local time: 00:53

Kanye West aingia tena katika mzozo, Twitter na Instagram zamfungia


Kanye West aingia tena katika mzozo, Twitter na Instagram zamfungia
please wait

No media source currently available

0:00 0:15:00 0:00

Kanye West akosolewa kwa kuvaa fulana ya white lives matter na pia aliwahi kutoa kauli ya utata kuwa utumwa ulikuwa ni chaguo.

Lakini hivi sasa ameingia tena katika mzozo mwengine na kufungiwa akaunti zake za Twitter na Instagram kutokana na mitandao hiyo ya kijamii ikidai posti zake zinakiuka sera zao.

XS
SM
MD
LG