Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Septemba 09, 2024 Local time: 21:15

Kampuni ya Meta inayomiliki Facebook imezindua mtandao wake wa Twitter - Threads


Moja ya kurasa za Twitter - Threads.
Moja ya kurasa za Twitter - Threads.

Masaa mawili baada ya kubonyeza kitufye kwa ajili ya uzinduzi rasmi siku ya Jumatano kwenye Threads, app mpya ya Instagram kwa real Time ambayo ni kwa ajili ya majadiliano ya umma , Mark Zuckerberg ameandika kwamba watu zaidi ya milioni mbili wamejiandikisha katika muundo wake mpya.

Huo ulikuwa ni mwanzo tu.

Saa mbili baadae, watu milioni tano walikuwa wamepakua app ya Threads, wakati mkurugenzi huyo Zuckeberg wa kampuni ya META anakwenda kulala jumatano usiku , idadi ya watu waliojiandikisha ilikuwa imefikia milioni 10, lakini leo asubihi tayari kulikuwa na idadi ya watu milioni 30.

Threads ni app mpya kutoka kampuni mama ya Facebook , Instagram, na whatsApp. Inaonekana kama Twitter ikiwa na nafasi zaidi kwa ajili ya maandishi yanayobandikwa – ingawaje watumiaji hawawezi hubandika picha au Video ambapo watu wanaweza kuwa na mjadala .

Forum

XS
SM
MD
LG