Kiongozi wa chama cha upinzani Tanzania, cha ACT mzalendo Bw. Zitto Kabwe anasema, inasikitisha kuona kwamba watu wengi hawafuati muongozo wa Shirika la Afya Duniani WHO, katika juhudi za kuzuia kuenea mambukizo ya virus via Corona nchini humo.
COVID-19 : ACT yaishauri serikali ya Tanzania ifuate muongozo wa WHO
Matukio
-
Desemba 20, 2022
Je Museveni anamuogopa mwanawe?
-
Novemba 18, 2022
Maandalizi ya Kombe la Dunia 2022 siku mbili kabla ya Kipute kuanza