Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Desemba 06, 2023 Local time: 08:16

Juhudi za uokoaji zaendelea baada ya tetemeko Uturuki.


Tetemeko la ukubwa wa vipimo vya rikta 7.2 lauwa zaidi ya watu 200 na kusababisha majengio kadhaa kuanguka huko kusini mwa Uturuki.
Tetemeko la ukubwa wa vipimo vya rikta 7.2 lauwa zaidi ya watu 200 na kusababisha majengio kadhaa kuanguka huko kusini mwa Uturuki.

Tetemeko la ukubwa wa vipimo vya rikta 7.2 lauwa zaidi ya watu 200 na kusababisha majengo kadhaa kuanguka huko kusini mwa Uturuki.

Juhudi zinaendelea kusini mwa Uturuki kuwatafuta walionusurika na tetemeko kubwa la Jumapili la ukubwa vipimo vya rikta 7.2 .

Idadi ya waliofariki dunia imeripotiwa imezidi 200 na idadi hiyo inategemewa kuendelea kuongezeka.

Wafanyakazi wa uokozi wanashindana na muda ili kujaribu kuokoa mamia ya watu wanaoaminika kunaswa katika vifusi vya majengo ambayo yalianguka baada ya tetemeko.

Maafisa wanasema tetemeko la ukubwa wa 7.2 liliangusha na kuharibu maelfu ya majengo.

Licha ya kupambana na matetemeko kadhaa madogo madogo ya baadaye juhudi za uokozi zimekuwa na mafaniko.

XS
SM
MD
LG