Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres akiwa katika siku ya pili ya ziara yake Kenya ameipongeza nchi hiyo kwa juhudi zake za kuimarisha amani katika nchi jirani.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari