Vita vya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kati ya jeshi la nchi hiyo na waasi wa M23 ni moja ya matukio mbaya yaliyojiri katika mwaka 2022. Waasi hao waliopigwa na kusambaratishwa kabisa mwaka 2012 walizuka tena na kuanza kuwapa taabu raia. Je, nini matokeo ya juhudi zinazofanyika kurejesha utulivu katika maeneo ya DRC, ikiwepo pia juhudi ya jumuiya ya Afrika Mashariki kuyakomboa maeneo ambayo yanakaliwa kwa mabavu na waasi hao. Sikiliza repoti kamili wakati tukihitimisha mwaka 2022...
Juhudi mpya za EAC kupambana na waasi wa M23 zatoa matumaini
Matukio
-
Januari 28, 2023
Russia yafanya mashambulizi 44 ya anga Ukraine
-
Januari 28, 2023
Je, Arsenal wanaweza kuwa wapinzani wa muda mrefu wa Manchester?
-
Januari 28, 2023
Sudan na Ethiopia wafikia makubaliano ya bwawa lenye utata
-
Januari 27, 2023
Waziri wa Fedha wa Marekani aipongeza Afrika Kusini kwa ujasiri wake