Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Mei 28, 2023 Local time: 05:33

Je, kwa nini ubadhirifu haujaweza kudhibitiwa Tanzania?


Je, kwa nini ubadhirifu haujaweza kudhibitiwa Tanzania?
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:08 0:00

Mchambuzi wa mambo ya siasa nchini Tanzania aeleza kuendelea kuibuliwa kwa ubadhirifu kila mara taarifa za Mkaguzi wa Serikali na Takukuru zinapotolewa ni ishara kuwa hatua stahiki hazichukuliwi kwa wanaohusika.

Mchambuzi wa mambo ya siasa nchini Tanzania aeleza kuendelea kuibuliwa kwa ubadhirifu kila mara taarifa za Mkaguzi wa Serikali na Takukuru zinapotolewa ni ishara kuwa hatua stahiki hazichukuliwi kwa wanaohusika. Ungana na mwandishi wetu wa Dar es Salaam akikuletea baadhi ya mapendekezo yanayoweza kurekebisha tatizo hili na kulikomesha. Endelea kusikiliza...

XS
SM
MD
LG