Kundi moja la Waisraeli wanaojitolea, hivi karibuni walizichukua familia za baadhi ya Wapalestina na watoto wao kwenye ufukwe wa baharı, na hivyo kuwapa fursa watoto kuona bahari kwa mara ya kwanza na ni fursa yenye nia ya kuleta amani kupitia mtoto mmoja mmoja.
Facebook Forum