Kupitia ujumbe wa Telegram kundi hilo limethibitisha kufanya hivyo Jumapili.
Mlipuko katika kituo cha utamaduni ambapo kulikuwa na tukio la waandishi wa habari, umeua mtu mmoja na kujeruhi wanane kwa mujibu wa mamlaka zinazo husika na wanahabari.
Tukio hilo limefanyika ikiwa imepita siku kadhaa baada ya gavana wa jimbo hilo kuuwawa katika mlipuko ambao pia unadaiwa kufanywa na kundi la Islamic State.
Facebook Forum