Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Aprili 15, 2024 Local time: 08:54

Wamarekani walioachiwa Iran wawasili nyumbani

Ndugu na marafiki wakimkaribisha mmoja wa wamarekani alipofika Texas.
Ndugu na marafiki wakimkaribisha mmoja wa wamarekani alipofika Texas.

Mmoja wa raia wa Marekani walioachiliwa huru na Iran aliwasili nyumbani kwao jana Jumapili huku wengine kadhaa wakiwa nchini  Ujerumani ambako wanaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali moja ya jeshi la Marekani.

Gazeti la The Boston Globe lilichapisha picha ya Mathew TRE-VI-THICK akiwa na mama yake kwenye uwanja wa ndege wa Logan, ulio mjini Boston, katika jimbo la Massachusetts baada ya TRE-VI-THICK kuwasili jumapili kwa ndege iliyotokea Uturuki. Alikuwa amezuiliwa kwa Zaidi ya mwezi mmoja katika gereza la Evin nchini Iran kwa sababu ambazo hazijaeleweka kufikia sasa.

XS
SM
MD
LG