Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Oktoba 12, 2024 Local time: 22:55

India na Sri Lanka zaweka saini ya makubaliano

Rais wa Sri Lanka, Maithripala Sirisena, kulia, na Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi wakielekea kwenye chumba cha mkutano wa makubaliano, mjini New Delhi, Jumatatu, Ferbuari, 16, 2015.
Rais wa Sri Lanka, Maithripala Sirisena, kulia, na Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi wakielekea kwenye chumba cha mkutano wa makubaliano, mjini New Delhi, Jumatatu, Ferbuari, 16, 2015.

Viongozi wa India, na Sri Lanka, wamefanya mazungumzo juu ya masuala mbalimbali Jumatatu.

Mazungumzo hayo yana madhumuni ya kuboresha uhusiano katika kuongeza biashara na kutatua migongano ya muda mrefu baina ya nchi zao.

Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi, na Rais mpya wa Sri Lanka, Maithripala Sirisena, waliweka saini makubaliano yao.

Ndani ya makubaliano hayo, yanajumuisha usalama wa nyuklia ambayo yamesifiwa kuwa ni fursa ya kipekee kuwahi kutokea.

Hii ni kufikisha ushirikiano wao katika kiwango kipya ikiwa ni pamoja katika fani za kilimo na huduma za afya.

XS
SM
MD
LG