Tina Turner, msanii nyota machachari ambaye nyimbo zake bora ni pamoja na ‘What’s Got to Do With It,”
Tina Turner, muimbaji machachari na kwenye jukwaa aliyeshirikiana na mumewe Ike Turner katika vibao kadhaa vilivunja rekodi na maonyesho katika miaka ya 1960 na 70 aliweza kuvumilia kuishi katika ndoa iliyokuwa na madhila na kuibuka kidedea alipofikia umri wa kati na kibao chake kilichovuma Zaidi “What’s Love Got to Do With It,” amefariki akiwa na umri wa miaka 83. Turner alifariki baada ya kuugua muda mrefu akiwa nyumbani kwake huko Kusnacht karibu na Zurich, Uswizi, kwa mujibu wa meneja wake –
- Habari inatokana na shirika la AP
Matukio
-
Machi 14, 2025Changamoto za ulezi wa watoto walemavu kiakili Kenya
-
Februari 28, 2025Waislamu wajitayarish kwa Ramadhani
-
Februari 27, 2025Ethiopia na Somalia waimarisha uhusiano wao
-
Februari 18, 2025Nini kilichosababisha Raila Odinga kushindwa katika uchaguzi wa AU?
-
Februari 11, 2025Naibu Katibu Mkuu aeleza hatua za dharura zinazochukuliwa DRC