No media source currently available
Wakati sherehe za kuapishwa Rais mteule Joe Biden zikikaribia Idara ya Upelelezi wa Jinai Marekani, FBI, inaeleza taarifa za mitandaoni zinathibitisha kuwepo uwezekano wa maandamano yenye silaha ya wafuasi wa Rais Trump.
Ona maoni
Facebook Forum