No media source currently available
Idara ya Uhamiaji nchini Tanzania imegundua maficho ya wasichana waliosafirishwa kutoka nchi za India na Nepal mjini Dar es Salaam ambao wanatumikishwa katika biashara zisizo halali.