Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Februari 03, 2023 Local time: 16:04

Hotuba ya Biden yafafanuliwa; kubadilisha utawala Moscow siyo sera ya Marekani


Hotuba ya Biden yafafanuliwa; kubadilisha utawala Moscow siyo sera ya Marekani
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:17 0:00

Wizara ya Ulinzi ya Russia yadai majeshi yake yameshambulia miundobinu ya majeshi ya Ukraine, yakifanyika wakati Rais Biden akitoa hotuba nchini Poland na kuzua mjadala duniani kuhusu kubadilisha utawala Moscow, jambo lililoelezwa na maafisa wa serikali ya Marekani kuwa siyo sera ya Washington.

XS
SM
MD
LG