Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Julai 14, 2024 Local time: 23:51

Hisia za upinzani nchini Ufaransa baada ya vyama vya siasa kupata wingi wa kura


Hisia za upinzani nchini Ufaransa baada ya vyama vya siasa kupata wingi wa kura
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:58 0:00

Hisia za upinzani nchini Ufaransa baada ya vyama vya kisiasa kupata wingi wa kura kuunda serikali.

Wiki hii inayokuja huenda ikabainisha matokeo kwa rais wa Marekani Joe Biden katika juhudi zake za kutaka kuchaguliwa tena, huku wito wa kumtaka kuondoka ukiendelea kuongezeka katika kinyang'anyiro.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG