Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Januari 30, 2023 Local time: 08:52

Halima Mdee na wabunge wenzake wavuliwa uanachama wa Chadema


Halima Mdee na wabunge wenzake wavuliwa uanachama wa Chadema
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:25 0:00

Wajumbe asilimia 97 wapiga kura ya kuafiki maamuzi ya kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Chadema, kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake ambao baada ya kutoka nje walieleza kutoridhishwa na uamuzi wa kikao hicho.

XS
SM
MD
LG