No media source currently available
Mkimbizi Dansira aeleza alivyoendelea kuishi maisha ya ukimbizini tangu akiwa na watoto wanne na hivi leo ana watoto 11 akieleza alivyolazimika kukimbia makazi yake kujisalimisha maisha yake na watoto wake.