Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 08, 2023 Local time: 01:23

Hali ya utulivu yarejea kwenye mpaka wa Congo na Rwanda


Hali ya utulivu yarejea kwenye mpaka wa Congo na Rwanda
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:42 0:00

Majeshi ya Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC) na Rwanda yamerudi katika mipaka ya nchi hizo mbili baada ya kutokea mtafaruku kati yao, na hivi sasa hali ya utulivu imerejea katika eneo hilo la mpakani.

XS
SM
MD
LG