Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Desemba 05, 2020 Local time: 11:01

Habari za waandamanaji kuuwawa na wanajeshi Nigeria zaushutsha ulimwengu


Habari za waandamanaji kuuwawa na wanajeshi Nigeria zaushutsha ulimwengu
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:19 0:00

Shambulizi la kupigwa risasi waandamanaji na kuuwawa baadhi yao kama ilivyodaiwa na Shirika la Amnesty International na mashahidi walioshuhudia tukio hilo zimekanushwa na Gavana wa Lagos, Nigeria.

XS
SM
MD
LG